me hapa sjakuita labda madame mwengine
umeenda nje ya topic ndugu yangu, me sio mpenzi wa hizo siasa na sina chama chochote kile, chama changu ni ugali tu mkuu siasa nakuachia weweHizi ni hekima za watu wa ccm na amini wewe ni mmoja wa wanachama waaminifu wa chama chetu hongera sana kwa kujitambua
Nikiangalia nyota ya Daby na bbade zinaendana, upendo wenu utazaliwa pande za ufukwe wa beach siku ya weekend.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maadam ushasema hivi ntakua nikimuona namkimbia
Hivi madam chura ipo?haha halitishi lakini si eti?
[emoji26][emoji26][emoji26]sina chura mm
hahaha...Nikiangalia nyota ya Daby na bbade zinaendana, upendo wenu utazaliwa pande za ufukwe wa beach siku ya weekend.
Hii dawa itasaidia akupende swagga zako tu na wala sio pesa; hata ukisema umpe pesa utamsikia shem akisema "baby mimi nakupenda wewe na sio pesa zako"nimekufa nimeoza, sina mwengine zaidi yako
nadhani Madame S ameshasema kila kitu