usinitee "wewe" bhana niite Archduke au reply bila kusema "wewe" au kunitaja jina 😉😉Wewe hii profile yako inamaanisha ???
Halafu unasemaje babe tena nimeona wivu wivuuuu wivuuuu usije nkmezira
Eh umemuita mada s babe nimeona wivuusinitee "wewe" bhana niite Archduke au reply bila kusema "wewe" au kunitaja jina 😉😉
😳😳 wivu tena??
eeh yamekua haya sasa unataka nimuite nani kama si yeye halafu wivu unakujaje sasa??Eh umemuita mada s babe nimeona wivu
So lile jibu ulilokuwa unasubiria sikutakii ndio maanake .??eeh yamekua haya sasa unataka nimuite nani kama si yeye halafu wivu unakujaje sasa??
acha hizo katoto
kwani umekubali?? if yes, am so sorry umechelewa kuamua muda umekuhukumu 😉😉So lile jibu ulilokuwa unasubiria sikutakii ndio maanake .??
Holla..how are you?í ½í¸¡í ½í¸¡
Good..you?Holla..how are you?
Oh basiiii pole yanguu mie ngoja nilie 😧😢😢😢😢😢 jjamaniiiii ai????kwani umekubali?? if yes, am so sorry umechelewa kuamua muda umekuhukumu 😉😉
Kiukweli nilikuwa nawatania siwezi kuharibu penzi lenyu 😂😂😂😂 nahuku na languueeh yamekua haya sasa unataka nimuite nani kama si yeye halafu wivu unakujaje sasa??
acha hizo katoto
hukuona imetosha na uzi ukanianzishia, hebu niache nipumue, shidayo nipaniki eeenh!! Nyie malizanen huko msinijumlishe kwenye mambo yenuWewe hii profile yako inamaanisha ???
Halafu unasemaje babe tena nimeona wivu wivuuuu wivuuuu usije nkmezira
Kabisa Mkuu,Umeongea kwa uchache lakini ni maneno yenye uzito.Husemwa hivi " Unaweza kupenda pale penye shari na wewe na unaweza kuchukia pale kwenye kheri na wewe"
Suala la mahusiano halitatuliwi kwa kura ya veto wala kwa vijiwe vya kahawa na mfano wake,suala la mahusiano huwekwa sawa kwa elimu,uadilifu na kusimamia usawa.
Vijana wa leo ni wajuaji sana,na wanapelekwa kwa hisia na misemo yenye sarufi mbovu sana,kuna hawa wasemao penzi humea kokote,hapa ndipo walipo potoka,kupenda kunataka elimu na kuwajua kina nani wakuwapelekea matatizo yenu pindi ya kiwakuta.
Kuna hili pia linalo wasibu sana au kutusibu sana sisi vijana,kwanza hatujui tuzipate wapi kheri na baraka za mahusiano yetu na hatuna vifua.
Almuhimu hatujui kupenda na hayo mapenzi ya kweli yamepewa maana isiyo stahiki.
Nitarudi....!
Mkuu cha kuongezea tukirejea nyuma wazee wetu wengi walifanikiwa katika mapenzi Sababu Walipewa Elimu na wanaekwenda kukutana nao pia Waliusiwa sana katika kuzikabili changamoto.Leo hii yanaitwa mapenzi ya kweli yale yaliyojengeka katika msingi wa uzinzi na upotofu ?
Upendo bila elimu stahiki mfano wake ni kama mavumbi yapoteayo angani.
Nayasema haya kwa rejea historia za nyuma za wale waliofanikiwa katika mahusiano.
Nakuunga mkono ya kuwa mapenzi ya kweli yapo na wenye mapenzi ya kweli wapo ila si kwa huu ufahamu ambao tuko nao vijana tulio wengi.
Nakupenda Madam S wangu mwayahukuona imetosha na uzi ukanianzishia, hebu niache nipumue, shidayo nipaniki eeenh!! Nyie malizanen huko msinijumlishe kwenye mambo yenu
Archduke mwana kulitafuta ndio mwana kulipewa.
Asante sana mkuu. Ukweli huu vijana wa utandawazi na wakubwa wao hawataki kuusikia,sasa kinachowakuta ni KUFANYA KAZI MARA MBILI.Mkuu cha kuongezea tukirejea nyuma wazee wetu wengi walifanikiwa katika mapenzi Sababu Walipewa Elimu na wanaekwenda kukutana nao pia Waliusiwa sana katika kuzikabili changamoto.
Waliingia katika Mahusiano yao bila kujua wala kujali wanaokwenda kukutana nao ni watu wa aina gani,kipato chao wala makbila yao,kwasababu hio waliusiwa na kupewa Elimu juu ya swala zima la mapenzi walifanikiwa.
Kabisa Mkuu tulishakosea na kusawazisha hatutaki.Asante sana mkuu. Ukweli huu vijana wa utandawazi na wakubwa wao hawataki kuusikia,sasa kinachowakuta ni KUFANYA KAZI MARA MBILI.