Ujumbe wangu kwa wana jf j2 hii

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
...Yesu akajibu, amin nawaambia, ye yote atakayeuambia mlima huu, ng'oka ukatupwe baharin, wala asione shaka moyon mwake, ila amini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake..........,
.... Nanyi kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili baba yenu aliye mbingun awasamehe na ninyi makosa yenu (lakin kama ninyi hamsamehe, wala baba yenu aliye mbingun hata wasamehe ninyi makosa yenu).
Amin
 
Ubarikiwe sana mtumishii wa Mungu. Mungu wa kweli na wa peeke.
 
Back
Top Bottom