Ujumbe wangu huo ..................

....SECRET and TRUTH.....endapo miyoyo ya marafiki ingekuwa na uwazi/ukweli....nadhani usingekuta familia nyingi ZINAYUMBA yumba, hata watoto wa mitaani wangepungua
 
Safi sana tena huu unahusika hata kwa mechi
ya jana maana wengine utakuta eti uhasama !!
 
MziziMkavu Mazuri yako na mema yako hayasahauliki.

Eidd Mubaraka ...nakuengezea "A friend is someone who knows the song in your heart and can sing it back to you when you have forgotten the words."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…