Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,086
- 34,883
Kwa wale wasiojuwa Kimombo Ujumbe wangu unasema hivi.
Unapokuwa unazungumza kitu unarudia kusema kitu ambacho unacho kijuwa .Lakini unapokuwa unasikiliza unakuwa unajifunza kitu kipya akilini mwako. DALAI LAMA.
Tuwe watu wenye kusikiliza kila mara tutajifunza mengi.