Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,012
- 156,356
- Thread starter
- #21
Big up sana mkuu, umeshusha madini ya maana sana! Wale walio kwenye ndoa wapate funzo hapa
Wanawake wenyewe ndio Hawa design ya Joyce Kiria???
Big up sana mkuu, umeshusha madini ya maana sana! Wale walio kwenye ndoa wapate funzo hapa
Dah...ajifunze yeye au wewe? Mbona unavujisha mbinu zetu za vita bana?ngoja nikopy nika paste kwa mamaa...
ajifunze kitu
Yaani wanaboaje sasa aarghUtaona mishithole mingne inaacha ku comment tu inataka kuquote uzi mzima
waite makamanda woteHarakati za USAWA wa kijinsia kwenye ndoa ndio chanzo kikubwa cha mafarakano
Naomba namba zao za simu.waite makamanda wote
Ndio maana tunawaachisha kaziSasa mbona hamuwataki wanawake magolikipa mnataka wenye kazi na elimu zao?
Kama kuna ka ukweli flani hivAsilimia kubwa ya wanawake wanaharakati hawana waume,either wameachana,ametangulia mbele za haki au hawakuwahi kuolewa kabisa.Fanya utafiti utaelewa tuu
Kuna tatizo kubwa sana zaidi ya watu tunavyodhani. Mtoa mada na wachangiaji wwngine unaona tatizo sijui ni demokrasia? Eti tatizo ni uanaharakati? Eti tatizo ni mwanamke kujitegemea kiuchumu. Hivi kwanini hamjiulizi kwanini wanawake wanaamua kupambana na kuchukua majukumu yenu? ? Na mtu anapoweza kuchukua na kukufanyia majukumu yako inategemea kabisaaaa akuheshimu? ?
Mpo humu mnajazana ujinga badala ya kuangalia wapi mnakosea. Mwanamme ukiweza kuhudumia familia yako na mke wako vyema huyo mwanamke atafanya au kuwa mwanaharakati wa nini? ?? Uhanaharakati unakuja katika kudai kitu fulani. Sasa kama anapata mahitaji na haki yake afanye Uhanaharakati wa nini? ??
Hii post na hizi comments zinaonyesha upeo mfinyu wa wanaume ambao Eti wanajiita vichwa. Ukiangalia miposti mingi humu utakuta ni looser anajisifia anavyofyatua watoto bila kuwahudumia sasa hapo mama wa watoto asijikwamue akungoje wewe? ? Posts kama hizi zinashabihiana na zile za kulalamika kuhudumia girlfriends /mademu zao eti wanawapiga mizinga.
Kwa ujinga huu mnaojipaka kama upupu kufumba na kufumbua mwanamke ataongoza Uchumi wa nchi ninyi mtabakia kulalamika.
Wanaume hasa vijana ndiyo wanategemewa na familia na taifa. USHAURI :Acheni Uzembe, Uvivu, Kutokuwajibika,KULALAMIKA . Wanaume ndiyo wanasababisha waafrika kuitwa SHITHOLE. Tekelezeni jukumu lenu la kuhudumia familia jzenu ILI KUWEKA HESHIMA NYUMBANI jishughulisheni jamani Kwa shughuli halali
Mbona umekuwa mnyonge!??
Ndio hapo sasa wakaa vibalazani hamuwataki.Sasa mbona hamuwataki wanawake magolikipa mnataka wenye kazi na elimu zao?
Safi sana babeni majukumu yetu siyo mmekalia kusema mwanaume kichwa cha nyumba .nyumba Ipi hiyo wakati hata bei ya sukari hujuiKuna tatizo kubwa sana zaidi ya watu tunavyodhani. Mtoa mada na wachangiaji wwngine unaona tatizo sijui ni demokrasia? Eti tatizo ni uanaharakati? Eti tatizo ni mwanamke kujitegemea kiuchumu. Hivi kwanini hamjiulizi kwanini wanawake wanaamua kupambana na kuchukua majukumu yenu? ? Na mtu anapoweza kuchukua na kukufanyia majukumu yako inategemea kabisaaaa akuheshimu? ?
Mpo humu mnajazana ujinga badala ya kuangalia wapi mnakosea. Mwanamme ukiweza kuhudumia familia yako na mke wako vyema huyo mwanamke atafanya au kuwa mwanaharakati wa nini? ?? Uhanaharakati unakuja katika kudai kitu fulani. Sasa kama anapata mahitaji na haki yake afanye Uhanaharakati wa nini? ??
Hii post na hizi comments zinaonyesha upeo mfinyu wa wanaume ambao Eti wanajiita vichwa. Ukiangalia miposti mingi humu utakuta ni looser anajisifia anavyofyatua watoto bila kuwahudumia sasa hapo mama wa watoto asijikwamue akungoje wewe? ? Posts kama hizi zinashabihiana na zile za kulalamika kuhudumia girlfriends /mademu zao eti wanawapiga mizinga.
Kwa ujinga huu mnaojipaka kama upupu kufumba na kufumbua mwanamke ataongoza Uchumi wa nchi ninyi mtabakia kulalamika.
Wanaume hasa vijana ndiyo wanategemewa na familia na taifa. USHAURI :Acheni Uzembe, Uvivu, Kutokuwajibika,KULALAMIKA . Wanaume ndiyo wanasababisha waafrika kuitwa SHITHOLE. Tekelezeni jukumu lenu la kuhudumia familia jzenu ILI KUWEKA HESHIMA NYUMBANI jishughulisheni jamani Kwa shughuli halali
Ni wachache sana wanaowaachisha wake zao kazi wanaweza kuwahudumia baada ya hapo.Ndio maana tunawaachisha kazi