Ujumbe wa Waziri Muhongo kuhusu TANESCO

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,564
22,133
Habari,

Naomba kuhoji TANESCO, hii huduma ya tariff 4, kwa wateja wote wanaoonekana kutumia chini ya unit 75 kwa mwezi, kwanini isiwe Automatically?

Kama kukuondoa wameweza kufanya automatic punde tu unapozidisha matumizi au kununua unit nyingi kwa mpigo wanakutoa automatic kurudi taarifa 1,

Sasa kwanini kukuweka mpaka ukawaombe?

Kwanini nayo isiwe automatic?

Waziri Muhongo hebu toa tamko juu ya hili, pamoja na CC EWURA jaribuni kutetea wateja Kwa hili
 
Back
Top Bottom