Ujumbe wa wazi kwa Clouds Media Group!

Ujumbe wa wazi kwa Clouds Media Group!

Clouds ni redio ya teenagers.
Mtu mwenye akili timam hawez skiliza,redio ya watoto wa shule na wanafunz wa vyuo.
Kwa mtu mwenye akili timam ukiskiliza clouds utajifunza nini?
Vipind vyao vyote vinalenga hao adolescent.
Kwa sisi watu wazima kidogo PB ya kipanya walau unaokota mawili matatu pamoja na sports extra. Umri wetu umesogea mambo ya ubuyu na sisi wapi na wapi?
 
Mtu/mfanyakazi pekee ambaye hamuogopi Ruge pale Clouds ni Masoud Kipanya. Jamaa ana misimamo yake, na hayumbishwi.
Kutokuogopa huko ndio kunafanya anafanya dharau za kijinga.

Mtangazaji gani anatafuna huku anaongea, tabia ya kipuuzi sana na kijinga.

Jamaa amekosa manners kabisa, anatia kinyaa maana hujui anatafuna ngararumu au nini.

Nilianza kumuelewa pale awali ila siku zinavyoenda anazidi kuwa kero.

Katika sub za kupoteza walizofanya Clouds ni kutoka kwa Hando na kuingia Masudi...Hando was very smart.

Ni kheri kuogopa uheshimu Wasikilizaji wako badala ya kujiona Mjuaji na kufanya kila unachojisikia.
 
Duh!!! Mkuu, lini tena alikuwa anatafuna huku anaongea? Kuhusu Hando, kweli ni smart, na sio mtu wa kuburuzwa, ndio maana walishindwana na Ruge.
 
clouds huwa napapalika kutune muda wa kipindi kimoja tu Power break fast hivyo vingine sijui kina Kibonge sijui kibonde tupa kula na kipindi nisichokipenda kabisa ni hicho Leo tena sijui.
XXL huwa siwafuatilii kikubwa nikisikia ngoma kali na chezesha kichwa kisela tu basi ila mboyoyo zao sitaki zifuatilia.
kwa kifupi wako katika decline.
 
Back
Top Bottom