Ujumbe wa wazi kwa Clouds Media Group!

Ujumbe wa wazi kwa Clouds Media Group!

Miaka ya 2006 na kuendelea kama sijasahau vizuri EATV ilikua moto wa kuotea mbali.

Miaka ya 2010+ bass (2014-2017)clouds ipo moto

Kaibuka EFM na TVE. Je ataweza kumzidi Ubunifu CMG???
 
Clouds ni redio ya teenagers.
Mtu mwenye akili timam hawez skiliza,redio ya watoto wa shule na wanafunz wa vyuo.
Kwa mtu mwenye akili timam ukiskiliza clouds utajifunza nini?
Vipind vyao vyote vinalenga hao adolescent.
sikiliza terminal Leo
 
Mm hip radio huwa sisikilizi tena msanii ukikosaba Na ruge tu unafungiwa. Wasanii hatuna lakufanya

Nashauri wasafi TV. Wasije kuwa kama cloudz uahindani WA kiba Na diamond wasijefanya hata nyimbo ya kiba kutopigwa watakuwa wanafanya makosa Na kupunguza ushabiki

Watofautishe kati ya ushindani WA msanii Na boss wao diamond
 
Clouds ni redio ya teenagers.
Mtu mwenye akili timam hawez skiliza,redio ya watoto wa shule na wanafunz wa vyuo.
Kwa mtu mwenye akili timam ukiskiliza clouds utajifunza nini?
Vipind vyao vyote vinalenga hao adolescent.
Hatuishi kwa kujifunza tu pekee bali wakati mwengine unahitaji kuburudika pia.
 
Clouds ni maarufu na inapendwa na kufuatiliwa sana kwasababu ipo controversial,ipo tofauti.Imejengwa kwenye msingi kuwa maisha sio serious wakati wote.Anguko la Clouds litakuja pale tu itakapojaribu kuwa normal,kuwa kama media nyingine.Clouds ni media inayopendwa sana na kuchukiwa sana,na hii ndio nguvu yao.
 
Kwa mchango mdogo japo sina umri ila mpaka sasa Clouds Media Groups imepoteza ushawishi kwa jamii tena mkubwa.
1.Kitendo cha wao kuanzisha bifu za wazi na media zingine na dhahiri kimepunguza mvuto kwa kuwa wanashindwa kujificha mbele ya Public.
2.Ruge huyu ndio tatizo amefika hatua ambayo yeye ndio boss hata mtangazaji wa Clouds hawezi kumtaja au kumuandika huyu jamaa bila kusema neno boss na ukiwa na nafasi yoyote katika jamii alafu huwa fanya kitu mpaka wewe ujulikane ni nani au kutaja cheo chako ujue kuna shida hapo na Kubwa amekuwa na bifu za kijinga.
3.Kitendo cha kila msanii wa kike ili aweze kutoka hawa watu wa hii media lazima mmoja wapo awe anamega nalo shida kwa kuwa watakuwa wanapigisha nyimbo zake kimahaba tu sio utandaji.
4.wamekuwa hawawezi kuficha hisia zao pindi wanapokuwa kwenye Mahusiano na msanii wa kike mfano Nandy kila kipindi cha Clouds lazima watapiga nyimbo yake.
5.Ubunifu umeisha kwao kilichobaki ni bifu na watu tu ili waendelee kufuatiliwa.
MWISHO inatakiwa wajitathimini ujio wa @Wasafitv na @Wasafifm maana nimeangalia comment za kwenye jinsi hawa jamaa walivyoshindwa kusupportiwa.
 
Kibonde anaondoa wafuatiliaji wa kipindi cha Jahazi ikiwemo mimi, jamaa sidhani kama amesomea ethics za utangazaji ..ishu ya kawaida anaweka siasa za upande mmoja (sijakataa ni chaguo lake ila akumbuke mamilion ya watanzania wanamsikiliza na kila mmoja ana msimamo wake) , mambo ya pombe kama kila mtu mnywaji aisee kiukweli siwezi kaa nisikilize JAHAZI kama jamaa akiwepo studio mara kumi Garderner na G.Bantu.
 
Kibonde ni mtangazaji wa ovyo kuliko wote hapa tz, kila kitu akifanya Rais ata kijiwa kibaya ye anasifia
 
Vipi habari kuwa Wasafi Fm & Wasafi TV ni ya Joseph Kusaga pia.
 
Kibonde anaondoa wafuatiliaji wa kipindi cha Jahazi ikiwemo mimi, jamaa sidhani kama amesomea ethics za utangazaji ..ishu ya kawaida anaweka siasa za upande mmoja (sijakataa ni chaguo lake ila akumbuke mamilion ya watanzania wanamsikiliza na kila mmoja ana msimamo wake) , mambo ya pombe kama kila mtu mnywaji aisee kiukweli siwezi kaa nisikilize JAHAZI kama jamaa akiwepo studio mara kumi Garderner na G.Bantu.
Kishoga kile
 
Clouds ni redio ya teenagers.
Mtu mwenye akili timam hawez skiliza,redio ya watoto wa shule na wanafunz wa vyuo.
Kwa mtu mwenye akili timam ukiskiliza clouds utajifunza nini?
Vipind vyao vyote vinalenga hao adolescent.
Powerbreakfast pia wamelenga teenegers??
 
Back
Top Bottom