Ujumbe wa ndani ya loliondo

Ujumbe wa ndani ya loliondo

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,057
Reaction score
2,637
Kuna habari kwamba ujumbe wa umoja wa mataifa umeelekea Loliondo majira ya asubuhi hii. Wajumbe waliolekea huko ni kutoka Dar na Arusha. Updates baadaye.
 
You are wasting your time, if you did't know!!
 
Sasa kama huna uhakika umeanzisha thread ya nini???:bored:
 
Nadhani kasikia mtaani.ila habari za uhakika ni kuwa maafisa wa WHO wameondoka jana official hapa dar kwenda Loly kuanza mchakato wa utafiti rasmi kikombe cha babu..
 
Back
Top Bottom