Ujumbe wa leo

Mkuu Shy land Mgumu kutowa (like) inaonyesha hata huko nyumbani unako ishi shemeji yangu huwezi kumwambia unampenda lakini wewe watu wanakupa (like) zao hatari sana.

Tatizo napenda kutumia jf website ndio maana huwanga inakuwa tabu kidogo kwa mimi kutoa like,
 
asante sana mshana jr kwa ushauri wako lakn huwanga nasikia kudownload application nyingi za app ni dalili zakuua simu, eti kuna ukweli wowote kuhusiana na hilo.

Sio kweli ila ni vema ukadowload chache zenye manufaa ambazo unazitumia mara kwa mara! Hiyo ya apps kuuwa simu labda ziwe zimebeba virus
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli ila ni vema ukadowload chache zenye manufaa ambazo unazitumia mara kwa mara! Hiyo ya apps kuuwa simu labda ziwe zimebeba virus

Umesomeka vizuri sana mimi nalingia opera mini na laini ya voda ni internet moja wapo kali sana yenye kasi ya ajabu 120kb kwa sekunde 6 tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…