Nakumbuka siku moja ni mambo ya utoto tu nilifanya kitu mama akachukia mpaka akalia, siku hiyo nililia kwa kuomba msamaha mpaka nikahisi nguvu zimeniishia, akisema amenisamehe narudia kuomba msamaha, hadi mama akawa ananishangaa nimepatwa na nini.....nakupenda sana mama....