Wamefanyaje? Waite waje kusoma hapa
Pole sana mkuu....
Kweli, huwa naumia sana mtu akipiga story kuhusu baba, yani ni lazima nitafute chemba nilieeeee!
R.I.P my lovely dad.
Duniani mithili yako hakuna, na peponi tutakutanishwa tena.
Mie mwenyewe huwa naumia sana hata tu nikisikia maongezi ya mtu na baba yake.
I'm sorry jamani sikua na nia yakuwakumbushia