Ujumbe wa leo

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Bill gate
 
Attachments

  • bill.jpg
    bill.jpg
    31.7 KB · Views: 130
If not done to perfection si unam-fire! Coz people are scared of being fired they will learn to do it better and improve as they go along. Ni njia nzuri kuwaambia UNAWEZA JUST DO IT!
Ofcourse yes but can it be done at your perfection?
 
If not done to perfection si unam-fire! Coz people are scared of being fired they will learn to do it better and improve as they go along. Ni njia nzuri kuwaambia UNAWEZA JUST DO IT!

lakini siyo mara zote mkuu. inaweza ikakucost sana hi theory
 
Bila shaka kuna vitu vingi vya kuangalia kwenye hii theory! Lazima utakuwa umefahamu background of an individual....watu wengine ni waoga tu kwa sababu ya makuzi (upbringing), lakini ni makini sana. Watu wavivu mara nyingi si kwa kila kitu. Kuna vitu wanafahamu na wanaweza kwa wepesi zaidi ndiyo hivyo wapewe wafanye. Actually kwenye mfumo wa 'positive thinking' huwa unahadharisha kuhusu kuidentify weakness of an individual and start working on them. Matokeo mara nyingi huwa si mazuri because we end up forcing people to do things they are not best at. Why can we maximise on someone's competences and forget about the weakness! How often have we been to schools, training but end up doing same mistakes hata baada ya kutoka mafunzoni? Ndo maana kwa wengine wetu semina elekezi za mawaziri au wakuu wa mikoa huwa tunadhani zinatija kidogo kama hapa nyuma a person was a poor performer on something/management/governance usimlazimishe hii kitu haitaleta matokeo mazuri. Kumpatia mtu mvivu kazi lazima ujue vitu gani they are best at, then meximise hiyo potential!

well said BUBE but umesahau kuwa in the labour market people expect someone who can deliver more that what she/he earns. na mara zote hii huwa inapiwa kwa kuangalia work plan, na objectives za muhusika kama zimemeet goals za company katika specific period of time.

sasa uvivu kwangu mimi na usema kama kigezo cha kusababisha udeliver nje ya muda husika na nijuavyo in anyo organization, time is allocated with respect to available resources in nay task which needs to be perfomed. sasa kama ukifanya nje muda unafikir added resources utazipata wapi?
 
Last edited by a moderator:
NIMEIPENDA HII COMMENT.
well said BUBE but umesahau kuwa in the labour market people expect someone who can deliver more that what she/he earns. sasa kama ukifanya nje muda unafikir added resources utazipata wapi?

Hilo ni kweli, but zipo baadhi ya cadres ambazo kuna unyumbufu (flexibility) fulani, otherwise ingekuwa vigumu kuwapatia ajira fresh graduates. Workplan and deliverables ni vizuri kuangaliwa kati ya mwajiri na mwajiriwa, msimamizi na msimamiwa maana you do not wait to be embarassed at the last minute by your incompetent and non-performing staff. Kimsingi organizations pia zina culture ya nurture their own staff coz through that you institute the organizational culture, and that might not be the case if you got a touchy-touchy staff and level of retention is very low. Suala la muda pia lazima mwajiri kumshawishi/encourage staff to take extra effort kufanya yale ambayyo yanamwia magumu (siyo yale yanayomshinda...haya achana nayo otherwise utapoteza muda). We all have moral obligations to do that!
 
your good at management theories. i like that. good
 
Back
Top Bottom