Sasa kwani wewe ndo shetani bana? Me namkemea shetani asije kuunganisha ndoa yanguMimi huyo au...???
Teh huko sirini nishamlegeza kabisa, so ilikuwa bado tu kumkemea hadharani[emoji133] [emoji133]Hahahaaa....unamkemea hadharani sirini wamkaribisha lol
Tuwoweni
Maweee.....wewe anakufaa my first born
Hahaha wapi weye unadhani mi sijui mishe zako....