Hili ndio kubwa japo hii inahusu wale waliokomaa kwenye hiyo ndoa ila kwa wale wenzangu na mie ni mwendo wa kususa tu yaani kila mmoja hana muda wa kukaa chini na kutafakari na anajiona yuko sahihi.Ni kweli ila wore tuna makosa me akiongea 1 ke kasema 10 ,Me akisema 5 Me anasema LAKI.TURUDI CHINI TUJITAFAKARI TUDUMISHE NDOA ZETU
Kuna haja wabobezi tuwe na ofisi za ushauri na usuluhishi wa migogoro ya NdoaHili ndio kubwa japo hii inahusu wale waliokomaa kwenye hiyo ndoa ila kwa wale wenzangu na mie ni mwendo wa kususa tu yaani kila mmoja hana muda wa kukaa chini na kutafakari na anajiona yuko sahihi.
Yah. Hakika na hapo ndoa nyingi hasa zile ambazo zilikuwa zinataka kufa kibudu basi zingepata uhai. 😀😀😀Kuna haha wabobezi tuwe na ofisi za ushauri na usuluhishi wa migogoro ya Ndoa
Mmmmmh!Pombeeee tu! Bapa kwanza the rest yatafuata! Pombe ni rafiki wa kweli, Mwaminifu siku zote
A life spent making mistakes is more honorable than a life spent doing nothing.Mmmmmh!
@nzuri pesa na pombeMmmmmh!
Ndo na ulabu mkuuA life spent making mistakes is more honorable than a life spent doing nothing.
Wapi na wapi SIJAWAHI hata ishika Mkuu@nzuri pesa na pombe
Aione Mauki!
Tatizo sio simu tu mkuu,VITIMBI NAVYO VYA WAZIWAZI!!?Dawa moja tu: Mwiko, tena Mwiiiko! Usichunguze simu ya mwenzio.
Tujuzane hilo karo safi la kusafishia ndoa,
ndoa zimechafuka kweli,si utani[/QUOTE
DUMISHA KUINGIZA MOPER KWENYE TUNDU LA SINK, NDOA ITAKUWA POA
Umenikumbusha kuna mtu na mke walikuwa wanapendana hd wanabadilishana simu kila mtu anachukua ya mwezie ndoa haikudumu.Dawa moja tu: Mwiko, tena Mwiiiko! Usichunguze simu ya mwenzio.