Ujumbe wa Leo huo jamani

Unajuwa maana ya "context", mfano niandike wewe umeandika "nimeitunga mimi". Hpo inakuwa nimeku "quote out of context".

Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?

Sasa naona unapanic, soma ulichokiandika! Yaani wewe na akili zako unaona 50+ years post independence eti hiyo ni 'Neema', katika nchi hii? 50+ years? then eti 'context'...

Tulia chini analyze nilichokiandika, na kutofautiana na wewe kwa heshima, na si kukurupuka simply kwa sababu mtu ametofautiana na wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…