Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Uchumi wa Raia kila kukicha unaporomoka.
Lakini unasikia eti Uchumi wa Nchi unakua.
Ukuaji wake ni wa Mchicha au wa Mbuyu?
Neema hiyo.
Nilikuwa nikiheshimu comments zako at times, lakini katika hili? Umepotoka!
faiza foxy ungekua mke wangu ningepitia mlango wa nyumaUmeni quote out of context na unalijuwa hilo. Weka nukuu yangu yote.
Hypocrite.
Ohh wewe kweli ni great thinker.
Umeni quote out of context na unalijuwa hilo. Weka nukuu yangu yote.
Hypocrite.