Ujumbe wa Lema mother's day!

Ujumbe wa Lema mother's day!

Ujumbe mzuri sana, ila siamini kama ameandika Lema. Yule hana akili hata moja.
 
Ujumbe mzuri sana, ila siamini kama ameandika Lema. Yule hana akili hata moja.

Lema huwa anawapeleka puta mpaka mnalia po. Nadhani ndiye anayechukiwa sana na wanaccm baada ya Dr Slaa
 
Kiwanja cha kujengea hospitali ya mama na mtoto Arusha Lema kajimilikisha, tena hati ya kiwanja kaandika jina la mke wake Neema.
 
Kiwanja cha kujengea hospitali ya mama na mtoto Arusha Lema kajimilikisha, tena hati ya kiwanja kaandika jina la mke wake Neema.

Tuwekee ushahidi usilete porojo za Lumumba hapa!
 
Lema huwa anawapeleka puta mpaka mnalia po. Nadhani ndiye anayechukiwa sana na wanaccm baada ya Dr Slaa

Mkuu nikweli,baada ya Dr Slaa kuchukiwa nawana Ccm anayefuata ni Lema,Lisu,Mbowe, Mnyika,Msigwa,Mdee,Wenje,Sugu.Na wanaoongoza kwa kupendwa na Ccm Wakwanza ni Zitto,Mrema,Cheyo,Dovutwa na Pengo!
 
Ujumbe mzuri sana, ila siamini kama ameandika Lema. Yule hana akili hata moja.
Hapa Arusha wanasema ukiona au kusikia mtu anachukiwa sana basi ujue anakubalika!
 
exactly mheshimiwa mbunge. mimi na jamaa zangu tayari bado kwenda kuwaangusha wazee wa makengeza.
 
Naomba tena kwa mara nyingine niseme kwamba sina akaunti yeyote katika mabaraza mbalimbali ya mitandao ya Kijamii, isipokuwa JamiiForums peke yake na niko kwa jina langu halisi kama hivi linavyoonekana.

Jina langu limetumika hapa hata kama ni kwa ni njema lakini si jambo linalonifurahisha.

Lema.
 
Back
Top Bottom