Ujumbe wa Dr Slaa kwa wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa Dr Slaa kwa wanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Apr 27, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  From Dr Slaa to student activists:

  "You are in school
  or college to FIND YOUR VOICE. We have monsters looting a country. Become
  a voice of your people"
   
 2. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Source please!!!!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ujumbe murua kwa wakati murua.
   
 4. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I like it!
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,000
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ujumbe wa JK huwa anauandaa kwa kiswahili, KASI ZAIDI, ARI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI.
  ''manufacturing of teachers''
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ujumbe sawia
   
 7. A

  A revolutionist Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Good news dr slaa.
   
 8. S

  Sultani kambe Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtaongea sana lakini CCM ni numberi one
   
 9. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Tunaweza kuwa sauti ya watu, juu ya viziwi! Kwanin kila mtu asipaze sauti yake mwenye na kuungana na za wengine ikawa moja kubwa yenye nguvu, kuliko kuwategemea hao wasomi wanaotuangusha kila siku? Wao wenyewe wanaburuzwa mavyuon mwao, wanashndwa kujiremea wenyewe, watatusemeaje sisi? Nenda ukaone udom. Chuo changu cha mtaa, elimu yangu ya mtaa, ndio silaha tosha na ndiyo sauti yangu. Tusitegemee makubwa sana kutoka kwa wasomi wetu. Kwanza hata mtaala wenyewe unawajenga kuwa wezi. Pitia kidogo ukajionee. Wewe na mimi tunaweza fanya kitu bila kuwategemea wasomi, wanaharakati wala wanasiasa. Waongo na wasaliti wakubwa wa UTU.
   
 10. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwaufisadi
   
 11. H

  HisiaZAkweli Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa dhuluma na umbumbu?
   
 12. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  no. Moja kutoka mwisho
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  gamba la kobe
   
 14. I

  Isoliwaya Senior Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 15. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiwe mshabiki wa kijinga.....number one kwa lipi? wizi wa mali za umma, ufujaji wa fedha serikalini, kukandamiza haki na kuwanyima wananchi maisha bora? Uongozi mmbovu? Uongozi wa kulindana? Yote haya kweli ccm ni NUMBER ONE, HAKUNA AMBAYE HALIFAHAMU HILI!!!!
   
Loading...