Ujumbe wa Arnold Schwarzenegger kwa jamii; ''Mambo hubadilika''

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,222
Reaction score
7,076
''Usiamini nafasi uliyonayo, kiasi cha pesa ulizonazo, au hata nguvu na akili ulizonazo kwa sasa!, Yote hayo ni mambo yatakayopita na hayatadumu milele''

Maneno haya aliyatoa mcheza sinema maarufu na aliyewahi kuwa Governor wa jimbo la California Arnold Schwarzenegger kwenye bandiko lake la hivi karibuni akiwa amelala pembezoni mwa barabara, mbele ya sanamu yake mwenyewe kwenye hotel aliyowahi kuizindua wakati wa enzi za utawala wake.

Wakati anazindua hotel hiyo aliahidiwa na wafanyakazi wa hotel hiyo kuwa kila akihitaji chumba atakipata wakati wowote atakapoamua kulala hapo. Baada ya kuachia wadhifa wa ugovernor na akiwa amezeeka sasa, alirudi hapo kutaka chumba cha kulala, lakini uongozi wa Hotel hiyo ulimgomea na kumtaka alipie chumba kwa kuwa hawawezi kumpangisha bure!.

Kaandika Arnold Schwarz; Nilipokuwa mtu maarufu watu walinijali na kunisifia, baada ya kuachia ngazi wamenisahau na wala hawakumbuki kile walichoniahidi.

"Nothing lasts forever'' kwa tukio hili anarudi kwenye enzi zake za maigizo au ndio ukweli wenyewe?... Kwa maoni yangu alichokisema ndio hali halisi.
 
Attachments

  • 21231739_823584021156819_8242217774971993797_n.jpg
    21231739_823584021156819_8242217774971993797_n.jpg
    34.5 KB · Views: 84
''Usiamini nafasi uliyonayo, kiasi cha pesa ulizonazo, au hata nguvu na akili ulizonazo kwa sasa!, Yote hayo ni mambo yatakayopita na hayatadumu milele''

Maneno haya aliyatoa mcheza sinema maarufu na aliyewahi kuwa Governor wa jimbo la California Arnold Schwarzenegger kwenye bandiko lake la hivi karibuni akiwa amelala pembezoni mwa barabara, mbele ya sanamu yake mwenyewe kwenye hotel aliyowahi kuizindua wakati wa enzi za utawala wake.

Wakati anazindua hotel hiyo aliahidiwa na wafanyakazi wa hotel hiyo kuwa kila akihitaji chumba atakipata wakati wowote atakapoamua kulala hapo. Baada ya kuachia wadhifa wa ugovernor na akiwa amezeeka sasa, alirudi hapo kutaka chumba cha kulala, lakini uongozi wa Hotel hiyo ulimgomea na kumtaka alipie chumba kwa kuwa hawawezi kumpangisha bure!.

Kaandika Arnold Schwarz; Nilipokuwa mtu maarufu watu walinijali na kunisifia, baada ya kuachia ngazi wamenisahau na wala hawakumbuki kile walichoniahidi.

"Nothing lasts forever'' kwa tukio hili anarudi kwenye enzi zake za maigizo au ndio ukweli wenyewe?... Kwa maoni yangu alichokisema ndio hali halisi.
Duuh kweli hawajamtendea haki kutokana na ahadi yao kwake.
Swali: Je mpka sasa Arnold hana hata sehemu ya kuishi na Umaarufu wake wote.
 
Anorld ni tajiri sana ,kumbuka pia ni msanii so anatumia njia nyingi za kifasihi kuwasilisha mawazo flani yenye mafunzo ndani yake kwa hadhira yake ,so hapo amejaribu kuelezea kwamba MTU unapaswa kufanya mambo makubwa kwa wakati muafaka pale unapopata nafasi kwa maana muda haurudi tena
Arnold alikua mbeba vitu vizito na alitumia wakati wake kujiingizia kipato so now anakula matunda ,lakini kutokana na huyo umri kwenda kwa sasa hawezi kubeba baadhi ya vyuma hivyo anatukumbusha kutumia muda wetu vizuri katika kujijenga kimaisha wakati bado tuna nguvu
 
Anorld ni tajiri sana ,kumbuka pia ni msanii so anatumia njia nyingi za kifasihi kuwasilisha mawazo flani yenye mafunzo ndani yake kwa hadhira yake ,so hapo amejaribu kuelezea kwamba MTU unapaswa kufanya mambo makubwa kwa wakati muafaka pale unapopata nafasi kwa maana muda haurudu tena
Arnold alikua mbeba vitu vizito na alitumia wakati wake kujiingizia kipato so now anakula matunda ,lakini kutokana na huyo umri kwenda kwa sasa hawezi kubeba baadhi ya vyuma hivyo anatukumbusha kutumia muda wetu vizuri katika kujijenga kimaisha wakati bado tuna nguvu
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi
 
Anorld ni tajiri sana ,kumbuka pia ni msanii so anatumia njia nyingi za kifasihi kuwasilisha mawazo flani yenye mafunzo ndani yake kwa hadhira yake ,so hapo amejaribu kuelezea kwamba MTU unapaswa kufanya mambo makubwa kwa wakati muafaka pale unapopata nafasi kwa maana muda haurudi tena
Arnold alikua mbeba vitu vizito na alitumia wakati wake kujiingizia kipato so now anakula matunda ,lakini kutokana na huyo umri kwenda kwa sasa hawezi kubeba baadhi ya vyuma hivyo anatukumbusha kutumia muda wetu vizuri katika kujijenga kimaisha wakati bado tuna nguvu
na alikuaga governor pia
 
Duuh kweli hawajamtendea haki kutokana na ahadi yao kwake.
Swali: Je mpka sasa Arnold hana hata sehemu ya kuishi na Umaarufu wake wote.
Hilo swali lako halina mantiki sana...
Yaani Arnold akose sehemu ya kuishi?
Huyo siyo idris mkuu, hana akili za wabongo! Idris alipata mil500 kwenye BBA lakini hata kiwanja cha mil 10 hana...
Yawezekana alienda hapo hotelini kimtego tu!
Pitia hapa uone hekalu lake Arnold Schwarzenegger: Net worth, Salary, House, Car, Wife & Family - 2017 Muzul
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom