Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,522
Yaani acha tu, ujumbe unatusaidia kuwa positive tu ila sio guarantee kabisa yaani.Tatu mzuka et
Yaani acha tu, ujumbe unatusaidia kuwa positive tu ila sio guarantee kabisa yaani.Tatu mzuka et
HayaaAsante chief
Pacha asante kwa kushukuru kwa niaba yanguShukrani kwa ujumbe
Msichana/mwanamke mimi nimeusoma ujumbe huu....Natamani saana wasichana na wanawake wooote duniani wangesoma huu ujumbe, dunia ingekuwa mahala pazuri sana.
Ubarikiwe
Siku mwanaume akifanikiwa anatafuta mwingine with his standards.......kazi kweli kweliYaani acha tu, ujumbe unatusaidia kuwa positive tu ila sio guarantee kabisa yaani.
Si ndio hapo sasa!! Tena hii ndio inauma hatari, bora unyanyasiwe mali ambazo unajua haukuzichuma.Siku mwanaume akifanikiwa anatafuta mwingine with his standards.......kazi kweli kweli
Hizi huwa ni kauli tu za wanaume kapuku anapotaka kukunasa uingie kwenye tundu bovu, lakini sio guarantee kabisaaaaa.No guarantees...ask the good girls watakwambia...
Wanaume huwajui wewe... be wild ndo utamchanganya... we nenda km kondoo uone km hujalamba jokeri...
And what r u assuming... Women wote ni hohehahe?
Wapo walotokea familia za kishua,wenye elimu na exposure zao,wenye pesa na kazi zao...mtu km huyu unataka ampende mwanaume wa dizaini gani...well go figure
Haha mareth mwanadadaMsichana/mwanamke mimi nimeusoma ujumbe huu....