Ujumbe mzito kwa wapenzi wenye wivu

Ujumbe mzito kwa wapenzi wenye wivu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,436
579277_654083007976095_1762275301_n.jpg
 
Hahahaha
Alaf cha kushangaza zaidi kwa binadamu ni kwamba akionewa wivu atasema huyu amezidi kwa wivu.

Akigundua mwenza wake hana wivu ana lalamika huyu mtu gani hana wivu?

Ni vigumu kujua binadamu ana hitaji kwenye mapenzi.
 
Back
Top Bottom