kuna thread ilikuwa posted jana kwenye jukwaa la siasa kuwa kwa uwoga wa wa-tz tusubiri hadi idadi ya watu kama milioni nne wafe kwa njaa na umaskini majumbani mwao ndio wafanye move. Nadhani wa-tz tuamke jamani, namnkuu Kimilidzo 'Inafikia wakati mtu unaona kama kuwa mtanzania ni upumbavu' kauli hii nathubutu kusema ina ukweli fulani, leo hii huwezi kuwa nje ya nchi halafu ukajitambulisha kirahisi kuwa unatokea Tz