adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
- Thread starter
- #61
Tulikuwa bize kusema Yanga wanatembea bahasha ya khaki na kubweteka leo tumeibuka tena malalamiko speed ya 4G .
Nishalala zangu Mimi.
Hahahaaa! Hatuna hamu navyo tena ujue. 😀😀Mkataba wa Fei na SportPesa unaendeleaje ?maana huu kwetu ndio ushindi mkubwa na furaha yetu
Tate Mkuu Shadeeya ukikaidi utapigwa2