Ujumbe mkali kutoka Colombia!

du mzigo kama huo unaupata ushatoka life unamweka rais unayemtaka
 
Kiini macho hicho! .... Oil & Drugs are the nuclei of US and Europe.
 
du mzigo kama huo unaupata ushatoka life unamweka rais unayemtaka

Hahahaaaaaaaaaaaaa! Aisee hata mie nilikuwa nawaza kwamba kwa mzigo kama huu, huna haja ya kuhangaika tena. Unashusha maghorofa (property estate) killa mji then unakula pensheni yako mpaka kufa na hata politics unaachana nazo, na unaamua ku mute kama Bakhressa vile!
 
Kumbe hii kitu inapikwa kienyeji kama gongo au chang'aa, duh!
 
Haya majamaa yana hela kuliko serikali mbili za Tanzania ukizichanganya pamoja!
 
from..............to...................!?
 
Hata wewe kamanda???
 
Nikiona hali ya maisha inakua ngumu basi naanza kupiga hizo kazi maanake kwa mwendo jinsi kina sisiem wanavyotupeleka putaputa itanibidi tu.
 
Jamani kwa sisi watz tunaomudu mlo mmoja kwa siku, picha za mihela hivi zinaweza kutupa ugonjwa wa moyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…