Ujumbe mdogo

Ujumbe mdogo

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Unapotafta mchumba wa kuja kuishi naye naomba kwanza jiulize kuwa km itatokea bahati mbaya ukaondoka hapa duniani utawaacha watoto na mke wa aina gani??au mume was aina gan???na hao watoto watayakuta maisha gan ambayo mmewaandalia..maswahi haya yatakuwa km ujumbe kwako wew ambaye bado hujaanza maisha na ambaye unatafta mchumba ili ujiulize na kujijubu peke yako kuwa unahitaji mchumba wa aina gani???????
 
Back
Top Bottom