Ujumbe Maridhawa kwa Wanawake Wote

Ujumbe Maridhawa kwa Wanawake Wote

Nadhani mkuu umenielewa vibaya sijamaanisha kuwa mmeo akichepuka umfichie uovu wake Lahasha nakusudia udhaifu kama wa kimaumbile au mambo ya ndani na mfn wa haya
Yaani badala ya kukemea maovu ya hao wanaume ndani ya ndoa unakemea wanawake kutoa siri za ndani nje? Eti hata kama mume anachepuka au anamyanyasa mkewe mke anyamaze tu unataka hayo anayoyaweka moyoni ayatoe vipi? Wewe unaweza kuvumilia mapungufu ya mkeo mfano kama mkeo anachepuka au anakujeuria utamvumilia bila kumfanya chochote kibaya?
 
Kuna mahali umeandika "kila kosa analofanya mumewe analifikisha kama lilivyo" na kuna mahala umeandika "usijaribu hata mara moja kumsimulia mwanaume yeyote mabaya na mateso anayokupatia mumeo jinsi anavyokukera au vitu vinavyomshinda" sasa hapo umemaanisha kitandani tu si eti? Ndo maana nikamuuliza je na wewe unaweza kuvumilia kila pungufu la mkeo?
 
Nadhani mkuu umenielewa vibaya sijamaanisha kuwa mmeo akichepuka umfichie uovu wake Lahasha nakusudia udhaifu kama wa kimaumbile au mambo ya ndani na mfn wa haya
Kuna mahali umeandika "kila kosa analofanya mumewe analifikisha kama lilivyo" na kuna mahala umeandika "usijaribu hata mara moja kumsimulia mwanaume yeyote mabaya na mateso anayokupatia mumeo jinsi anavyokukera au vitu vinavyomshinda" sasa hapo umemaanisha kitandani tu si eti? Ndo maana nikamuuliza je na wewe unaweza kuvumilia kila pungufu la mkeo?
.
 
Back
Top Bottom