Ujumbe mahususi kwa CHADEMA/ UKAWA kuhusu NEC

Ujumbe mahususi kwa CHADEMA/ UKAWA kuhusu NEC

Ingekuwa more transparent kama kura za kila kata, jimbo na kila mkoa zingejulikana. Then, jumla ya kura za kila mkoa ndo zipelekwe Tume ya Taifa kwa ajili ya kujumlisha mikoa yote.

Kila mkoa uwe na center za kujulisha kura za majimbo yote (Urais).
Yawepo makubaliano kuwa kura za mikoa yote zipatikane kabla ya kutangaza matokeo.
Lingine ni kuhusu mfumo wa kuhesabu kura: Kama zinatumika computer, basi formula ihakikiwe mapema na wataalam maana ni rahisi kuweka figure katikati ya fomula kwa mgombea anaependelewa.
 
Samahani kamanda labda nina mawazo tofauti,kwani kwa kutumia BVR si kwamba matokeo yatakua yanaonekana mojamoja NEC hata kama hiyo kura imepigiwa huku kwetu Kishimundu? Tafadhali anayejua anaweza kunielewesha.

Mjiandae kisaikolojia, mambo hayatakuwa rahisi kama mnavyozani.
 
Uko sahihi mkuu

Ingekuwa more transparent kama kura za kila kata, jimbo na kila mkoa zingejulikana. Then, jumla ya kura za kila mkoa ndo zipelekwe Tume ya Taifa kwa ajili ya kujumlisha mikoa yote.

Kila mkoa uwe na center za kujulisha kura za majimbo yote (Urais).
Yawepo makubaliano kuwa kura za mikoa yote zipatikane kabla ya kutangaza matokeo.
Lingine ni kuhusu mfumo wa kuhesabu kura: Kama zinatumika computer, basi formula ihakikiwe mapema na wataalam maana ni rahisi kuweka figure katikati ya fomula kwa mgombea anaependelewa.
 
Electronic ni rahisi sana kuchakachua. hebu jikumbushe kenya. Na mwisho waliamua kuhesabu kwa mkono
Unajua binafsi nimekua nikijiuliza ulazima wa kutumia teknologia BVR sasa hivi ila kiukweli nasindwa kuuona. Anyway, tusubiri siku ya siku.
 
nachokifahamu kura zingekuwa zinaibiwa au c.c.m wangekuwa wanaiba kura basi pale bungeni pasingekuwa na mbunge hata mmoja wa upinzani... ukiona mtu kashinda ujue kashinda kihalali
wewe gamba kweli, hivi kwa mfano 2010 kama wananchi wa ilemela na nyamagana wasingeanza kuchoma ofisi za ccm leo hii Dialo na MASHA si wangekuwa wabunge pamoja na kwamba hawakushinda? inaonekana na wewe ni mwizi km ccm yako
 
Ukweli ni kwamba,mwaka huu watu wamekuwa na mwamko mkbw wa kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura,hao wananchi wanaozalilishwa kwa kuitwa wanywa VIROBA na WAHUNI ndio wapiga walio wengi,wasitake kupumbaza watu ili wafunge goli la mkono kirahisi,TZ ya ss si ya mwk 2010.
 
Samahani kamanda labda nina mawazo tofauti,kwani kwa kutumia BVR si kwamba matokeo yatakua yanaonekana mojamoja NEC hata kama hiyo kura imepigiwa huku kwetu Kishimundu? Tafadhali anayejua anaweza kunielewesha.

Kaka kura tunazoenda kupiga ni manual process kama zamani na siyo electronic. yaani hiki kitambulisho hakina tofauti na kile cha zamani kwa upande wa data sema tuu hiki ni cha plastic and no electronic data which has been stored in it yaani hiyo ilikuwa geresha tuu watu wapate kupiga panga but indeed it is a just manual voting process

Unaandika lakini ?
 
Back
Top Bottom