Ujumbe kwenye gari: Osama anatafutwa?

Malizia maneno ya hapo chini, nadhani anamaanisha watu wenye tabia za Huyu bwana...............
 
ni lazima atafutwe kwani hajakamatwa bado halafu tabia za huyo jamaa ndio tabia za wamarekani kuua na kufuraia wenzao kufa.
 
Huyo ambaye bado anatafutwa ni osama wa Kidodi huko Iringa, karibu na Nyololo
 
Back
Top Bottom