Ujumbe kwa wanaume

Wanaume huwa tuna fujo sana ktk mahusiano,na ni vigumu mke kuhimili mikiki yote ya mwanaume,na ili ndoa idumu na usimgasi mkeo unajikuta unatafuta wa nje atakayeweza kuendana na hiyo mikiki
Mmhh
 
We mfuate umwambie ukweli. Umezunguka mbaali ila tumekusoma, m nakusihi uendelee kukaza
 
Unawashauri wanaume tena kama unawajua kuliko wanavyojijua.
Kwa taarifa yako mwalimu wa mapenzi wa mwanaume ni sehemu zake za siri na sio mwanamke na kwa msaada zaid mwanamke anaweza kumsadia mwanaume kwenye maombi tu tena ukimuomba kwa adabu na unyenyekevu aliyemuumba mwanaume amdhibiti kiumbe wake na sio hata mzazi wake.
Yaani kabisa unatoka mbele kabisa kuwashauri wanaume kuhusu wanawake?? Mwanaume hashauriwi kuhusu mapenzi ila matokeo ya mapenzi ndio mwalimu wa mwanaume.
 
maisha sio fair kila siku ninasema kama maana nishasoma uzi hapa hapa wanawake wakawa wana sema wanawapenda sana wanaume waliokwisha kuwa kwenye ndoa eti wanajua kucare na hawana usumbufu na inafikia hatua hadi wanajitongozesha sijui sisi binadamu tunakwamaga wapi ila kama tungekua tuanjua thamani zetu haya yote yasingetokea
 
Hivi kwani wanawake ndo hatupendi kudekezwa au?
ha ha ha mnapenda kudekezwa,ila ukimdekeza yule anayeongoza familia lazima amani na utulivu uwepo na kicheko kinakuwepo muda wote;mfano mwanaume akiwa home anatakiwa achukuliwe kama mtoto mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…