Ujumbe kwa wanaume

Aisee
 
(Wanawake mlioolewa na tabia zenu mbofu mbofu sina la kuwatetea. ) huu mstari wa mwisho nimeukuelewa vizuri sana....ya kwamba sometimes hawa wenye hiso tabia mbofu mbofu huwa chanzo kikuuuu....but ukiamua kucheat kwanza unahakikisha home pako kamili....pili mchepuko lazima ukutiiii......tatu lazima awe kitu haswaaa, hata ukifumaniwa mkeo ndio anaomba msamaha........
thread yako iko 50%, 50%......umepiga kote......na ushauri umetoa pia...asaante
 
Asante
 
Bora umeeleza vizuri ni kwa wanawake wanaojielewa na wanaotimiza wajibu wao vizuri..

Kwa hapo nakusapoti

Mwanamke ambae hajielewi na wajibu wake hautekelezi vyema basi kuchepuka ni lazima kwa mumewe.
 
Bora umeeleza vizuri ni kwa wanawake wanaojielewa na wanaotimiza wajibu wao vizuri..

Kwa hapo nakusapoti

Mwanamke ambae hajielewi na wajibu wake hautekelezi vyema basi kuchepuka ni lazima kwa mumewe.
Nmebalance kotekote
Ndo mana nashangaa watu wanavyonisema eti nmependelea upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…