Ujumbe kwa wanaume

Kwa mantiki hiyo unamaanisha kwamba hata wanawake nao wachepuke tu wanavyotaka wasiangalie dini wala dunia inasema nini?
Pamoja na kuwa kanisani wanawake ndio wanajaa lakini ndio wanaongoza kwa uzinifu.
Ni kwa sababu wanaume tunafanya wazi wazi na wale wasiokuwa na ndoa ndio maana tunaonekana tunazini zaidi.
Lakini wanawake walio kwenye ndoa Ni wazinifu kuliko waume zao.!!
Dini ni sehemu tu ya kufichia maovu yao. Wengine wamewaingiza hatiani Hadi wachungaji na wazee wa kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…