Duuuu,
This is a stunning revelation!!
Sikujua kama huu uzi ungekuwa multipurpose kiasi hicho!!
Karibu sana na toa maoni yako pia!!
Babu DC!!
uzi mzuri
tatizo babu DC unanichanganya kitu kimoja
uzi umekaa kama monogamy relatioship
while najua wewe ndo Chairman wa chama letu la ma polygamist...
Ushauri mzuri sana babu, hopefully wahusika wamesikia na wataufanyia kazi.
Unshakable criteria: Lazima mtu ujitambue wewe mwenyewe ili uweze kuwa na vigezo vya kumpimia mwenzio. Kama huwezi kufanya hiyo kazi, bora jikalie tu utange tange mitaani…It will be very hard to work out your way kwenye ndoa kama hujui unachokitaka. Ni sawa na kwenda kuuza vitu sokoni ambavyo hata hujui bei yake katika masoko….Pia mwenzio akikugundua anaweza kukufanya msukule
Hahahahaa.Hii Inamhusu kila mtu.Hata akina babu na bibi, kwa kuwa soon wataoza vijana na mabinti..Sikujua kama hii thread ingesaidia walau kutenganisha boys Vs men, na girls Vs women,.....Lol!!
Babu DC!!
...lol...mnh, yaani wewe hayakuhusu haya?
Duh, babu DC
hadi kufikiri hayo yote lazima mtu uwe mzima kichwani(matured).
Asante, itawafaa sana vijana.
...nimeipenda sana hii...inaukweli mwingi ndani yake,....tushashuhudia jinsi watu namna kwa namna wanavyojishusha thamani yao na wanayoyaamini ili waoe/waolewe na fulani...2012 tutapiga vita kwa nguvu zote. AMEN.
Mbona wewe unakuwa mchoyo hivyo??
Hata kama interest yako ni kuwa na mpango wa mtumizi ya disposables, bado unaweza kuwasaidia wagogo zako ambao wamejawa na wasi wasi!!
Hebu basi wape mauzoefu yako basi!
Naamini wadau wataongeza au kuboresha ili hii dossier iwe ya manufaa kwa wadau na utukufu wa taasisi ya ndoa urudi mahali pake!!