Ujumbe kwa wana mmu

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
Habari za muda huu,
Juzi ilikua birthday ya mpenzi wangu siku hudhuria, kuto kuhudhuria ndio ilikua surprise niliyo muandalia mpenzi wangu kwa birthday yake mwaka huu, naona reaction yake imekuwa strange.
so nimeamua kuandika haya kuwa omba kina dada msiwe na mawazo hasi kila wakati kama mpenzi wako hayupo na wewe haimaanishi yupo na mpenzi mwingine.
Naomba tujenge desturi ya kuaminiana Tafadhali.
 
Eti "suprise ya kutohudhuria".
Huo si ujinga yaani unaweza kuhudhuria lakini unakataa kwasababu ya kufanya suprise yakijinga hivyo!!!!

Natamani kukuuliza una umri gani?
 
Umri PEKEE hauwezi kubadili fikra. fikra inabadiliswa na mazingira na kukua kwa ubongo.
kwa mfano fikra ulizo tumia kuchagua maneno uliyo yatumia kwenye post yako, hazionyeshi kama ni mtu mwenye fikra za watu wa kawaida wenye miaka 18+ ila zina onyesha mtu mzima ambaye ukomo wa maendeleo ya ubongo uli ishia kwenye steji ya chini ya umri nilio utaja hapo juu. Pia inaweza kuwa ni mazingira may be umepost ukiwa na jazba au umelewa so vyovyote vile umri wangu hauwezi kukusaidia.kama una maoni au mchango zaidi karibu.

Ur fellow member nash


Eti "suprise ya kutohudhuria".
Huo si ujinga yaani unaweza kuhudhuria lakini unakataa kwasababu ya kufanya suprise yakijinga hivyo!!!!

Natamani kukuuliza una umri gani?
 
Jamani wazazi, acheni kuwapa watoto internet, mnawakuza bure.
Hata mbuzi ana ndevu lakini analiwa na wasio na ndevu, so kuota ndevu sio kuwa umemaliza yote
 
nimejikuta nacheka sana halafu nikawa nasoma kwa note ya upole sana sijui kwann ama ndo jinsi ulivyo??

offcoz mimi ni mpole sanaa, ila cha ajabu sasa watu wengi nilio wahi kuishi nao huwa wana describe kama mtu mkali sijui kwa nini, ila all in all mi ni mpole that's all i know.
 
Jamani wazazi, acheni kuwapa watoto internet, mnawakuza bure.
Hata mbuzi ana ndevu lakini analiwa na wasio na ndevu, so kuota ndevu sio kuwa umemaliza yote

Umeona eeeeeh!
 
hahahahahahaha chekesha wewe, i dont
the surprise you did to your lover
 
hii attitude ndio mbaya, yes maelezo yana hitajika, ila anaye pewa maelezo naye inatakiwa asiwe amejiandaa kuto elewa pls jamani tuelewane, tuaminiane na maisha yaendelee.

Suprise gani hiyo??Mie asipokuja na maelezo kamili sitaelewa
 
Kwahiyo ubongo wako umekua?
check post zangu then shirikisha ubongo wako kupata MTAZAMO wako binafsi juu ya swali lako, japokuwa unaweza usiwe sahihi ila utakua umepiga hatua kuelekea maendeleo kamili ya ubongo wako,

  1. usi pende kulishwa kila jibu
  2. ukikosolewa ukiona yafaa badilika ukiona hakufai bisha kwa hoja za msingi.
  3. age is an issue of mind over matter, so if u dont mind it doesn't matter.
 
Du 'surprise' zimepata wenyewe
Halafu anajiona "eti mtu mwenye kufanya maamuzi ambayo ameshirikisha ubongo". Ukiangalia hapo unaona ni jinsi gani alivyokua hajui nini maana ya suprise.
 
Halafu anajiona "eti mtu mwenye kufanya maamuzi ambayo ameshirikisha ubongo". Ukiangalia hapo unaona ni jinsi gani alivyokua hajui nini maana ya suprise.

mkuu, mtu mzima mwenye umri mkubwa naomba unisamehe ili yaishe.
 
Nimefuatilia majibu yako na thread nzima nimekukubali mkuu,una akili sana
'
Usishangazwe na majibu ya watu humu,wengi wamekariri tu,wakiletewa jambo tofauti wanakua watupu kabisa
'
Nimependa namna yako ya kufikiri
'
Nina kawaida ya kupenda sana mambo yaliyo nje na mazoea!
'
Usife moyo,umetenda lililo jema!
 
tufike mahali tukubali utofauti na tukubali kuwa maisha ni namna unavyoyaunda without kuangalia flani amefanyaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…