. Viongozi kula kodi zetu ni halali yao, hujui wao ndio miungu wa hapa duniani?Wakati wewe unaangalia kodi za wafia dini ambao wanatoa kwa hiari wengine tunaangalia kodi zinazokusanywa na serikali ambazo wafia nchi tunalazimika kutoa na bado sehemu kubwa ya matumizi ya hizo kodi hufaidika nayo viongozi.
Ati toa sadaka kwa Mungu, hivi Mungu atakuja lini kukusanya hizo sadaka?
View attachment 1154199
View attachment 1154204
Hicham Kwieder, 65, of Wulfstan Way, Cambridge
A Muslim leader has plundered more than £111,000 from the charity that backs Cambridge's main mosque
View attachment 1154203
Maoni yako.
Ina maana hawa jamaa hawaitaki Pepo wanayowahubiria watu? kalagha baho
Kumbe wewe ni mfis dini na ccm? Inaonekana wewe ni mmoja wa wanaingia kwenhe kupitia dirisho kwenye hiyo oicha. Lazima sindano imeingia sawasawa. Ama ni huyu chini unaona nakimbiza kondoo wako kwa kuwastua akili wasiibiwe nawe
Mkuu usizikejeli Dini kwa makosa ya baadhi ya viongozi wao. Jinsi huu ujembe ulivyoufikisha unaonekana huzikubali dini na athari zake zimejionyeshwa kwenye post zako, huna maadili mazuri wala maneno ya busara.