Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,397
Mkishalijua hilo.... badikikeni. Chukueni hatua!wanawake wengi tukishaolewa tunapoteza dira na mwelekeo.kwl ndoa ndoano
Mkishalijua hilo.... badikikeni. Chukueni hatua!wanawake wengi tukishaolewa tunapoteza dira na mwelekeo.kwl ndoa ndoano
Kabla ya ndoa wanaficha makucha dadanguNashangaaga watu wa hivi wanapataje waume?Yaani kuna watu wametulia sana lkn kuolewa hawaolewi kweli ndoa ni riziki na kila mtu ana fungu lake.
HahahahUmechagua fungu lililo jema. Enenda kwa amani, usitende tena dhambi
Naona umekuja mkuu!Umechagua fungu lililo jema. Enenda kwa amani, usitende tena dhambi
Hahahahahhhh
Sema hakyamungu...Hahahahahhhh
Basi muongo sana huyo mama watoto wako.
Kasema yupo single aisee!
Nani mmarangu?wamarangu wanajua kuringa sana
Kweli Mkuu!Sema hakyamungu...
huyo dada, miss chagga si kasema. Mi mwenyewe wa huko ila nawaelewa. Ni wazuri wa sura ila shida yao ndo hiyoNani mmarangu?
Wewe ni wa Marangu?huyo dada, miss chagga si kasema. Mi mwenyewe wa huko ila nawaelewa. Ni wazuri wa sura ila shida yao ndo hiyo
kilemaWewe ni wa Marangu?
Walewale tu. Dadaako huyo.kilema
Si ndugu haohao.... waanjokilema
ndio ila sio wote mkuu, ni kinasaba flani kime watembelewa walio wengiSi ndugu haohao.... waanjo
Usiwatenge ndugu zako mangi. Utalaaniwandio ila sio wote mkuu, ni kinasaba flani kime watembelewa walio wengi
Ana bahati kapata hg mwenye roho nzuri la sivyo angerudi siku akakuta ntoto ashachomwa mwoto