Ujumbe kwa mh. Waziri wa Elimu

Ujumbe kwa mh. Waziri wa Elimu

Atoe Vyeti vyake hadharani kama anavyo, kama hana ajiuzuru
Tu assume bashite hana vyeti, way foward (ukawa aka team wema) mtaanzisha operation ukuta, katafunua au??
Mbona Profesa Ndalichako baada ya kuona tukio kwenye mitandao ya kijamii kuhusu walimu wa field kumpiga yule mwanafunzi mvuta bangi, aliwahi kutoa tamko la kuwafukuza chuo wale walimu? Kwanini kwa hili yuko kimya?
 
Habari za jioni ndugu na jamaa, Mods naomba huu uzi msiuunganishe na mwingine ili kupata ujumbe usipotee.
Mheshimiwa waziri wa Elimu,kwanza naomba ni kupongeze kwa majukumu uliyonayo, wana nchi tunakuamini sana hasa katika utendaji wako wa kazi, kwa kusimamia majukumu yako bila woga na kwakujiamini. Hili ni jambo la pekee.
Pili napenda kuwapongeza kwa kurudisha heshima ya elimu hasa pale mlipo fanya operation ya kuhakiki vyeti vya waajiliwa wote. Waliogushi vyeti walichukuliwa hatua na wengine kuacha kazi mwenyewe.
Ni takribani wiki mbili, mh. Mmoja ametuhumiwa kutumia vyeti vya mtu mwingine na ni mteule wa wa mh. Mkuu wa nchi. Nimeshangazwa na ukimya wako katika jambo hili licha ya makelele mengi katika mitandao ya kijamii. Kumbuka kuwa anayetuhumiwa ni kiongozi na unajua uhimu wa kuwajibika kama kiongozi. Mbona issues nyingine zikiongelewa mitandaini mnachukua hatua mapema? Rejea walimu walio mpiga mwanafunzi kule Mbeya mlitoa matamko mengi sana na kuwafukuzisha kazi.
Kama utalinyamazia hili swala la vyeti kwa huyu mheshimiwa ni afadhali ukapisha nafasi wakae wengine wanaoweza tenda haki kwa wote na si kuwaonea wanyonge. Vinginevyo halarisheni biashara ya kuziana vyeti na wale waliofukuzwa kazi na kunyimwa stahiki zao warudishwe kazini.
Naomba nikuambie kuwa wanachi tunasubiri tamko la kakanusha au kukiri tena kwa evidence juu ya uhalali wa vyeti vya huyu bwana.
Tunakoelekea utashindwa kufanya majukumu yako kutokana na jipu liliota usoni. Tutegulie mtego huu ili kurudisha imani kwa serikali yetu tukufu. Naomba kuwasilisha.
Alaa, uzi hauna hata paragraph. Ulikuwa unaandika nini hii?
 
Bashite kakausha utazan yupo rikizo ya uzazi kumbe !!!!!! Duh
 
Alaa, uzi hauna hata paragraph. Ulikuwa unaandika nini hii?
Labda device yako inasoma hivyo, but haupimwi umahili wa uandishi ujumbe umeupata
 
Unafikiri prof.Ndalichako anaakili za kulenga kwa manati kama za wewe mtoa mada? Anamambo mengi ya kufanya si huu upuuzi wa mtandaoni oh mara bashite oh makonda huu upuuzi mtupu
Mnajitahid sana kumsimamisha lakin mwenyewe wala hasimami

Kutwa kulia!!!!!

[HASHTAG]#achakulia[/HASHTAG] [HASHTAG]#wekavyeti[/HASHTAG]

[HASHTAG]#DAB[/HASHTAG] [HASHTAG]#CALLMEJ[/HASHTAG]
 
Mkuu wewe naona hata akili za kuvukia barabara huna yaani upo km msule hata kureason tu unashindwa? Hakuna hata mtoto wa darasa la pili jirani akusaidie?
Hahaaa...eti hata akili yakuvukia barabara hana!!
 
Kumbuka kuwa anayetuhumiwa ni kiongozi na unajua uhimu wa kuwajibika kama kiongozi. Mbona issues nyingine zikiongelewa mitandaini mnachukua hatua mapema? Rejea walimu walio mpiga mwanafunzi kule Mbeya mlitoa matamko mengi sana na kuwafukuzisha kazi.
Kama utalinyamazia hili swala la vyeti kwa huyu mheshimiwa ni afadhali ukapisha nafasi wakae wengine wanaoweza tenda haki kwa wote na si kuwaonea wanyonge.


Unashika sharubu za simba
 
Sasa huo ni ujumbe au umbea uliokubana juu ya Makonda?

Fanyeni Kazi kama kusema juu ya Makonda tumesema sana na rais kashasikia na yuko kimya sasa kusema zaidi kila siku Makonda Makonda haisaidii au nanyi wauza unga?
 
Unafikiri prof.Ndalichako anaakili za kulenga kwa manati kama za wewe mtoa mada? Anamambo mengi ya kufanya si huu upuuzi wa mtandaoni oh mara bashite oh makonda huu upuuzi mtupu
Mbona mnalia lia madhabahuni kama ni upuuzi wa mtandaoni
 
Unafikiri prof.Ndalichako anaakili za kulenga kwa manati kama za wewe mtoa mada? Anamambo mengi ya kufanya si huu upuuzi wa mtandaoni oh mara bashite oh makonda huu upuuzi mtupu

Mkuu, una uthibitisho? naona watu wengi wanatafuta uhakika wa issue hii. Kama una uhakika kinachosemwa ni uongo tusaidie...
 
Kuna watu wanasubiri mpaka Daudi Bashite ahamie Chadema ndipo waseme ana vyeti vya ku-forge. Kwa sasa hata mngepiga kelele vipi, wameweka pamba maskioni. Hawahaingiki kusoma hata baadhi ya ushahidi unaotolewa. Wao mtu akiwa kwenye chama chao hawezi kuwa na kashfa, mpaka ahame...
 
Tu assume bashite hana vyeti, way foward (ukawa aka team wema) mtaanzisha operation ukuta, katafunua au??
mhalifu yeyete akamatwe bila kujali chama chake. vyama vitapita, ila Tanzania yetu itabaki
 
Back
Top Bottom