shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,337
Kama unafanya kazi na "Kipato chako kinaishia kwenye chakula na malazi, kiuhalisia kazi unayofanya inakuwa si fursa ya maendeleo, bali juhudi za kubaki hai ambazo ni fursa ya maendeleo kwa muajiri wako.
Hali hii ilikua na jina lake karne ya 16. Iliitwa *Utumwa.*
- Nikutakie siku njema na mapambano mema ya kujikomboa toka utumwani."
Much love kwa MMU wote.
Hali hii ilikua na jina lake karne ya 16. Iliitwa *Utumwa.*
- Nikutakie siku njema na mapambano mema ya kujikomboa toka utumwani."
Much love kwa MMU wote.