Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Sera mpya ya kumpata mke:Nawasalimuni nyote!
Naomba niwakumbushe mambo ya muhimu mabinti wote mnaosaka ndoa
Kabla ya kwenda kulia makanisani au kwa waganga tambueni kuwa:-
1. Hakuna mwanaume anayetoka mbinguni kuja kukuoa, mwanaume wa kukuoa ni huyo wa mtaani kwako, schoolmate au core worker.. Ni kawaida saana kwa ninyi kuwadharau na kuwatolea lugha mbovu hao wanaokuzunguka. Nyie ndio mnaodai huy sio wa hadhi yangu. Mwishoni unaenda kulia madhabahuni au kwa waganga wa kienyeji!! Sasa wewe baki ukiwadharau wanaokuzunguka uone kama hautaishia kulia makanisani kila siku.
2. Jiheshimu na heshimu wenzako. Binti unapaswa kujiheshimu kwa kila kitu. Sio mtaani hata uvaaji wako ni wa hovyo . kuna wanawake ukiwaona tu ni wife material just kwa kujiheshimu kwao.
3. Tengeneza mahusiano na watu sahihi.. Wapo wanawake ambao huwa na mahusiano na waume za watu.. Hapa unategemea ndoa gani..
4. Epuka tamaa ya mali maana wengine mnajifanyaga kutaka wenye magari na fedha. Utasikia mtu akisema siwezi kuolewa na huyo hana mbele wala nyuma. Just be normal maana mali na fedha huja baadaye
Wanaishia kwenda kulia lia makanisaniHali ni mbaya kwa hawa dada zetu.
View attachment 1233425
Tuendelee kuwazalizishia huko huko waliko!!Dah halafu kuna mademu humu utakuta wanajifanya high classic sijui oohh, sitaki mnuka jasho nataka Mwenye range. .
Mmeona convoy hiyo? Na hapo ni mlima wa moto tu, bado gwajima hajawaita, mito ya Baraka bado, kakobe bado, mwakasege, nk.
Wanawake eshimuni wanaume maana ndio kiumbe pekee kilicho barikiwa na mungu ninyi ni wasaidizi tu.
Duh! Ebhana hatari!! Ati wataolewa bila dalili😂😂Hali ni mbaya kwa hawa dada zetu.
View attachment 1233425
Nakazia[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
Nilitegemea kukuona hapa😃[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣 mabaharia tunawacheki tu na kusema hiiiiiii,,,wacha tuzamie mlima wa moto tukaopoe vimwali.Dah halafu kuna mademu humu utakuta wanajifanya high classic sijui oohh, sitaki mnuka jasho nataka Mwenye range. .
Mmeona convoy hiyo? Na hapo ni mlima wa moto tu, bado gwajima hajawaita, mito ya Baraka bado, kakobe bado, mwakasege, nk.
Wanawake eshimuni wanaume maana ndio kiumbe pekee kilicho barikiwa na mungu ninyi ni wasaidizi tu.
🤣🤣🤣🤣🤣Sera mpya ya kumpata mke:
1- Tongoza na endelea kumeng'enya tunda mwaka mzima
2- Uchumba miaka miwili
3- Kaa nae pika pakua miaka minne
Baada ya hapo mfikirie kumuoa
NB:usichague chakula wakati wa njaa ukishiba utaanza kukinai
Kuna huyo dada mwenye skirt nyeusi, lazima atakuwa ashapata wake maana hizo mbio zake ni zaidi ya Usain BoltHali ni mbaya kwa hawa dada zetu.
View attachment 1233425
HiiiiiiKuna huyo dada mwenye skirt nyeusi, lazima atakuwa ashapata wake maana hizo mbio zake ni zaidi ya Usain Bolt
[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
Ndio umesemaje hapo?[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]
[emoji23]
[emoji1787]