ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Uo wimbo niliusikia jana redioni. Hapohapo ikabidi niingie youtube kuutafuta. Wakenya wako so funny š
Hahaha ujumbe umefika btwHii dedication ni "sizitaki mbichi hizi". Baada ya kuzikosa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa niaba ya slay Queens nasema " na baaado"
The Hate You Give, Little Infants F's Everyone.
Ndio mkome, ngoja niende kwa mrogiEbu tuache slay queen na maisha yetu
[emoji23][emoji23]Naona mnajitetea tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo hit ni kitu shua msee
Ndio muache ku slayMmezidiii. Kutunyanyasa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wee jishaue tu, utauacha kwa ulazimaSiachi ng'oo[emoji23][emoji23]na uzee ndo ushaingia tena
Sio mimiml lakini..Mmezidiii. Kutunyanyasa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23]slay queens si ndo wale wadada wanaochambia tishu badala ya maji?
JF bwana, unajikuta tu umecheka [emoji23]slay queens si ndo wale wadada wanaochambia tishu badala ya maji?
[emoji23]Slei kwini mkuje
slay queens si ndo wale wadada wanaochambia tishu badala ya maji?