Ujumbe kwa kina Dada Joyce Kiriya umetisha

asante dada joyce.,
hakika hii ndio mitazamo ya maendeleo..

Wameisoma.
 
Ebana,
Nimempendaje huyo dada!tunaitaji wenye majina wawe kama wewe.big up joyce kiria kilewo
 
Yaaan kama alikuwa akilini mwangu!!nilikuwa nafikiria jinsi ya kutaka kulisema hilo jambo nkifikiria huku mie mgeni nsijetukanwa bureeee!!biggest upp!!
 
Yaaan kama alikuwa akilini mwangu!!nilikuwa nafikiria jinsi ya kutaka kulisema hilo jambo nkifikiria huku mie mgeni nsijetukanwa bureeee!!biggest upp!!
 
NOTE: USISAHAU OPERESHENI
TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI
NA SHEREHE 2014..Tuchangie
maendeleo...
Daaah hapa hata mimi umenigusa aisee jamaa wengi nilio maliza nao chuo wanaoa kinoma kila leo sms za michango, nasema mwaka huu sochangii harusi ya mtu....imetosha sasa....
 
laiti kama ingeruhusiwa mwanamke mmoja aolewe na wanaume zaidi ya mmoja ningemuweka ndani huyu bidada,kaniimpres sana

Usijali utampata tu maana huyo ni mwanaume wake wapili your next lkn itabidi mfunge ndoa ya kimila coz ya kwanza ilikuwa ya kanisani hii ya piki bomani yenu itakuwa yakichaga.
 
Hata mkulu alishasema ukitaka kula na wewe lazima uliwe,hao wanaume wanataka kugegeda bure biashara gani hiyo?lazima waingie cost halafu wengi huwa wanatoa wenyewe hata kabla ya kuombwa pesa
 
hii mbinu ni ile inayotumiwa na wapiganaji, kuvuka mto na kulipua daraja wasiovuka wafie huko.Wewe Joyce kwa historia yako wala sio role model,hayo unayasema kinywani tu hata wewe usingeweza kutekeleza.

Ndio kikichokushinda kwenye ndoa yako ya kwanza kiria.

Ha Ha Ha Ha ungefuatilia kipindi chake Joyce Kiria cha jana alieleza yote ndoa yake ilikuwa simple sana hakumchangisha mtu,amefanya hivi ili ile gharama ambayo angeingia kwenye sherehe anaenda kusomesha watoto waishio kwenye mazingira magumu na kusaidia binti aliyebakwa na kupewa mimba amejifungua,anaenda kumsaidia mlemavu wa mikono!! Michango ya harusi inaboa!! Starehe zako iwe kero kwa mwenzako!! Team O.T.M.Y.H
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom