mikononyuma JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 641 Reaction score 604 Mar 25, 2018 Thread starter #401 Hajar said: lol Click to expand... Wamenambia walinikuta naimba Hajar Hajar .........sijui wao walijua ni mwimbo
Hajar said: lol Click to expand... Wamenambia walinikuta naimba Hajar Hajar .........sijui wao walijua ni mwimbo
mikononyuma JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 641 Reaction score 604 Mar 25, 2018 Thread starter #402 ukhuty said: hahah pole Click to expand... Asante da ukhuty
mikononyuma JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 641 Reaction score 604 Mar 25, 2018 Thread starter #403 Hajar said: Hahahaaa. Wenyewe wanasema pole hatakiwi kupewa huku. Click to expand... Kwa kweli
mikononyuma JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 641 Reaction score 604 Mar 25, 2018 Thread starter #404 Hajar said: Hahahaaa. Kwenda kwa mikononyuma? Click to expand... Naam
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,563 Mar 25, 2018 #405 Hajar said: Mie pia sijambo kabisa yaani. Click to expand... Naona kijana kapendezwa na jimbo anautaka ubunge.
Hajar said: Mie pia sijambo kabisa yaani. Click to expand... Naona kijana kapendezwa na jimbo anautaka ubunge.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #406 mikononyuma said: Niliokotwa saa 11alfajiri na patrol ya polisi .fahamu zimenirudia saa hii , eti ulisema umewahiwa vile? Click to expand... Pole sana mikononyuma. Sijui ulikuwaga wapi na wewe siku zote hizo hadi ukawahiwa. Teh teh.
mikononyuma said: Niliokotwa saa 11alfajiri na patrol ya polisi .fahamu zimenirudia saa hii , eti ulisema umewahiwa vile? Click to expand... Pole sana mikononyuma. Sijui ulikuwaga wapi na wewe siku zote hizo hadi ukawahiwa. Teh teh.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #407 mapipando said: Naona kijana kapendezwa na jimbo anautaka ubunge. Click to expand... Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar.
mapipando said: Naona kijana kapendezwa na jimbo anautaka ubunge. Click to expand... Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar.
mikononyuma JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 641 Reaction score 604 Mar 25, 2018 Thread starter #408 Hajar said: Pole sana mikononyuma. Sijui ulikuwaga wapi na wewe siku zote hizo. Teh teh. Click to expand... Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi
Hajar said: Pole sana mikononyuma. Sijui ulikuwaga wapi na wewe siku zote hizo. Teh teh. Click to expand... Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,563 Mar 25, 2018 #409 Hajar said: Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar. Click to expand... Tunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo.
Hajar said: Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar. Click to expand... Tunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Mar 25, 2018 #410 Hajar said: Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar. Click to expand... Jirani pilau lini
Hajar said: Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar. Click to expand... Jirani pilau lini
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #411 mikononyuma said: Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi Click to expand... Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma. Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh
mikononyuma said: Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi Click to expand... Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma. Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #412 sumbai said: Jirani pilau lini Click to expand... Hahahaaa. Tusubiri Pasaka iishe jirani.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #413 mapipando said: Tunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo. Click to expand... Hahahaaa. Na kweli aisee.
mapipando said: Tunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo. Click to expand... Hahahaaa. Na kweli aisee.
mikononyuma JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 641 Reaction score 604 Mar 25, 2018 Thread starter #414 Hajar said: Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma. Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh Click to expand... Kweli ashindwe
Hajar said: Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma. Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh Click to expand... Kweli ashindwe
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,563 Mar 25, 2018 #415 Hajar said: Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma. Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh Click to expand... Mwifwa ama teh teh teh
Hajar said: Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma. Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh Click to expand... Mwifwa ama teh teh teh
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,296 Reaction score 33,616 Mar 25, 2018 #416 Hajar said: Hahahaa. Haya bana Swahiba Click to expand... Haya
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #417 mapipando said: Mwifwa ama teh teh teh Click to expand... Hahaaa. Hapana Mwifwa ni mdogo wangu yuleee.
mapipando said: Mwifwa ama teh teh teh Click to expand... Hahaaa. Hapana Mwifwa ni mdogo wangu yuleee.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Mar 25, 2018 #418 Hajar said: Hahahaaa. Tusubiri Pasaka iishe jirani. Click to expand... Kumbe jimbo lilikuwa huru...!
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,563 Mar 25, 2018 #419 Hajar said: Hahaaa. Hapana Mwifwa ni mdogo wangu yuleee. Click to expand... Kumbe,halafu sina hakika kama katia neno humu.
Hajar said: Hahaaa. Hapana Mwifwa ni mdogo wangu yuleee. Click to expand... Kumbe,halafu sina hakika kama katia neno humu.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,110 Reaction score 122,503 Mar 25, 2018 #420 sumbai said: Kumbe jimbo lilikuwa huru...! Click to expand... Duuh! Jamaani jirani.