Nahiyo ndo point yangu Mkuu ..Ujue JF humu nijamii ndogo , ndomaana ukimtaja mtu km Mshana JR anajulikana nakila mtu ., sasa km ile siku Mshana alivyomuandikia Demiss ,alafu demiss amkatae ingekuwaje???
Kwaivo niukweli kua mpaka Mshana anamwandikia Demiss NISABABU TU ALIKUA KESHAJILIZISHA NAUSIKUTE HATA MZIGO ALIKUA KESHAKULA.