Hapa sijaambulia kitu...hii balimi huenda ina mixture na bangiWakati na date na shemeji yenu alikuwa very real tukiagiza msosi anakula wote na anadokoa hata nyama kwangu au samaki. Sasa siku alikuja na rafiki yake kulikuwa na mgahawa flani pale posta almaarufu sana wakati huo karibu na ofisi za zamani za NBAA mavuno house. Siku hiyo tukaagiza wali samaki Yule rafiki yake akaagiza burger nikamwuliza utashiba kweli akasema ndio. Sie tukaupiga wote halafu wife akawa wanachukua chukua samaki kwangu. Tukala nikalipa wakasepa nikarudi zangu job. Jioni mchumba kaja analalamika ooh rafiki yake kamponda kweli kweli eti anatakiwa ukila na mchumba unakula kidogo halafu unaacha! Hutakiwi Kula wali unaagiza kitu kidogo dogo. Khaaa nikamshangaa kweli kweli huyo rafiki yake. Kwa mama huyu wa kichaga yaani tulipokuwa kama na miezi miwili kitu cha kwanza aliniambia kuna viwanja vinauzwa kimara tukanunue! Tukaenda ikawa bondeni sikupapenda. Mara ya pili akaniambia friji zinauzwa migo migo bei poa tukaenda tunanunua. Haka ka friji tumekatumia 12 yrs. Alikuwa focused na Maisha mpaka nikawa mnashangilia mwenyewe nikiwa alone. Sasa Mwanamke kama huyo hafai kwa kweli be real na maisha sio kuigiza mambo ambayo hayana au hayatakusaidia maishani mwako. Sasa huyo rafiki yake hiyo siku ya menu usiku wake alimpigia km mara nne hivi nikipokea anajidai kakosea Namba!
Huyo itakuwa uliokotana nae club ukavutiwa na mikato ukaamua kubeba jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi be real, msipende kuigiza igiza, au kuleta drama za ajabu ajabu halafu unategemea ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa unamchukuwa mwanamke ukweni kwa mwanaume anatakiwa awapikie wakwe hivi sisi wanaume tukipelekwa ukweni kwa mwanamke tunatakiwa tufanye nini? Kuchanja kuni? Kulima au Kuvuna? Kumgegeda mtoto wao mbele yao ili nionekane mgegedaji mzuri?. Ikiwa umekwenda kumtambulisha mke mtarajiwa inamaanisha mmekwenda matembezi. Sasa kumpa mtoto wa watu jungu la watu 20 wakati yeye kishazowea makisio ya mapishi ya watu 2 hadi 4. Huoni kama hapo unamuonea?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wakwe, wamezaa kidume poyoyo hakijui kuchaguaSasa hapo mwenye tatizo ni huyo mke au mume aliyemchagua huyo mke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unamchukuwa mwanamke ukweni kwa mwanaume anatakiwa awapikie wakwe hivi sisi wanaume tukipelekwa ukweni kwa mwanamke tunatakiwa tufanye nini? Kuchanja kuni? Kulima au Kuvuna? Kumgegeda mtoto wao mbele yao ili nionekane mgegedaji mzuri?. Ikiwa umekwenda kumtambulisha mke mtarajiwa inamaanisha mmekwenda matembezi. Sasa kumpa mtoto wa watu jungu la watu 20 wakati yeye kishazowea makisio ya mapishi ya watu 2 hadi 4. Huoni kama hapo unamuonea?
Ndukiiiii
Mwanaume ukienda ukweni ni kuonesha jeuri ya pesa! Yeye akija kwenu ni kuonesha maujuzi ya kupika na kutunza nyumbaSasa unamchukuwa mwanamke ukweni kwa mwanaume anatakiwa awapikie wakwe hivi sisi wanaume tukipelekwa ukweni kwa mwanamke tunatakiwa tufanye nini? Kuchanja kuni? Kulima au Kuvuna? Kumgegeda mtoto wao mbele yao ili nionekane mgegedaji mzuri?. Ikiwa umekwenda kumtambulisha mke mtarajiwa inamaanisha mmekwenda matembezi. Sasa kumpa mtoto wa watu jungu la watu 20 wakati yeye kishazowea makisio ya mapishi ya watu 2 hadi 4. Huoni kama hapo unamuonea?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ