CCM yenyewe imetekwa na genge la wanamtandao hao ndiyo wamejimilikisha keki ya Taifa na ukiwagusa tu unatekwa, unalawitiwa,unapotezwa na hata kuuliwa kabisa.Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.
Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.
Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.
Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.
Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.
Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.
Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
Hilo CCM mbona I alifanya na ndio maana inakubalika nchi nzima?Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.
Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.
Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.
Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
Kwani Heche anakiunga mkono Chadema kwasababu gani kama sio Maslahi tu? Ana kazi gani anayofanya na kulipwa ujira zaidi ya kuropokaropoka Chadema ili ahalalishe malipo na watoto wake waende choo? Niambie?Una uhakika?
Nachojua Mimi wanaokiunga mkono CCM wengi ni masirahi tu.
CCM walishaamua kuwa Madikteta, kwahiyo hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.
Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.
Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.
Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
Hakika, maana hakuna mwenye akili timamu akakosa kujua upumbavu unaofanywa na CCM, ila wanaamua kukaa kimya kwasababu wanaogopa au kwa njaa zao tu wanaamua kukaa kimya.Una uhakika?