Hii kauli kama kweli ni ya TANESCO basi aliyetoa kauli hiyo anatakiwa aachie ngazi hii ni dharau kwa WATANZANIA ambao uchumi wao unategemea umeme kauli hizi na dharau hizi zinatoka wapi? kwa kauli hii ambao wamezaliwa mjini hawalalamiki na huduma hii mbovu ya umeme? hawa wahuni walioko TANESCO wamechoka, wameshindwa kazi hawana jibu kwa nn umeme haukidhi mahitaji ya watanzania wanatakiwa waachie ofsi yetu.