Ujumbe Kutoka Tahrir Square | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe Kutoka Tahrir Square

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 20, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  "Ukiona matatizo kwa wananchi wako yanaongezeka siku hadi siku, ujue uongozi una matatizo makubwa kiutendaji, mzizi wa matatizo unazalisha hasira na chuki dhidi ya serikali na kinachofuata ni vita kubwa kutoka kwa wananchi ambao hawatakuamini tena na kuona kwamba hata wakikupa nafasi huwezi kuwatatulia matatizo yao...."

  "Na bila ushawishi watakuwa tayari kupigania haki kwa njia za kidhalimu. Pia kiongozi ufahamu kuwa wananchi wako wakiwa huru na moyo wako unakuwa huru"  (najua tu watu wa CCM wataniona mimi mwehu)

  Source: Barua ya Wasomaji (kwa mujibu wa Makinda) inayoitwa Majira Jumapili
   
Loading...