Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,806
- 34,193
Ningelikuwa nipo bongo ningemfunga huyo Dr. Kingwa asiweze kufika hata ofisini kwangu.Mkuu Dr MziziMkavu kadhibitishe vyeti vyako vya uganga kwa naibu waziri dr. kingwa kabla hajakushukia humu.
ha ha haHii inaitwa mbuzi kagoma, ingekuwa ngamia unapiga dua mbili anakubali mwenye tena anatenga na shingo uchinje, lakini hawa wanyama ni shida, inabidi na wewe uwe mwehu upande ukamchinje huko huko. kwa sisi makafiri unarusha jiwe la kichwa anaanguka chini mzoga kisha unamchinja.