Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Ni ushamba tu ,dunia ni moja kuna rais sio mkuu wa mkoa alitunguliwa kwenye parade ya kumsifu.ni miaka ambayo Tanganyika ya Nyerere ilishakuwa huru na Si stori za Musa wa ISraelKwenye hio clipa anasema
" La nne ni kwa wale ambao mnafikiri mna vyeo vikubwa kuliko mimi, mjifunze kuwa na nidhamu kidogo nawazidi vitu vingi sana na hatulingani. Unaweza ukawa tunalingana kwa umri tumekuwa pamoja ba tumesoma pamoja lakini NAKUZIDI SANAA, kwa hio kidogo uwe na nidhu na wakubwa zako wananitambua."
Sasa swali langu ni kuwa huu ujumbe umemlenga nani?
Ngoja nijaribu kui uploadTupia hiyo clip mkuu, sijaiona! Ila huyu dogo ana "kichwa" kikubwa na kinazidi kukua..
Nime i upload hapo.Tupia hiyo clip mkuu, sijaiona! Ila huyu dogo ana "kichwa" kikubwa na kinazidi kukua..
Nimeiona, huyu dogo bwana. Hizi ni akili za masikini aliyepata pesa uzeeni. Pathetic kabisa!!!Nime i upload hapo.
Ijaribu kama itakubali kucheza
Nimeiona, huyu dogo bwana. Hizi ni akili za masikini aliyepata pesa uzeeni. Pathetic kabisa!!!
Hahahah.Bila makonda hakuna JPM...
Ukimgusa makonda umeshika makalio ya JPM...
Ni either ujiuzulu au utumbuliwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Precisely, anakera sana. Maneno yake yana ukakasi kuyasikiliza, ni mtu mjivuni anayedhani atakuwa hapo alipo siku zote.Kifupi hajapewa malezi mema huyu
Kwenye hio clip anasema
" La nne ni kwa wale ambao mnafikiri mna vyeo vikubwa kuliko mimi, mjifunze kuwa na nidhamu kidogo nawazidi vitu vingi sana na hatulingani. Unaweza ukawa tunalingana kwa umri tumekuwa pamoja ba tumesoma pamoja lakini NAKUZIDI SANAA, kwa hio kidogo uwe na nidhu na wakubwa zako wananitambua."
Mwisho wa kunukuu.
Sasa swali langu ni kuwa huu ujumbe umemlenga nani?
Jamaa ndio anajua siri za uongozi wa JPM...Hahahah.
Kweli kabisa